KumbukiziSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
Soon kitazimia nakijua Tabia yake😆
View attachment 3061689
Angekuwa Massao Bwire angesema Yanga wamekubali KupapaswaKapapaswa
[emoji23][emoji23][emoji23]Watao tusua dakika 90 bila kusinzia ujue hao ni walinzi
Hii inatosha kunifanya nikalale, ninasinzia. Pameshaonekana panapovujaHata mkishinda tayari washachafua gazeti
Job kaunawa paleXNaona refa ana maelekezo yake, yule kashika pale.
kwa hiki alichofanya refa kukataa tuta la Arrows
DJ Ally B naomba kibao cha Rose Muhando - Nibebe
KumbukiziSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
View attachment 3061691View attachment 3061691Soon kitazimia nakijua Tabia yake😆
View attachment 3061689
piga mshale hao gongo wazi