FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.

Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
Kumbukizi
Jamani wenye nchi tusikubali, Hizi dharau sanaaaa kwa sisi na Tajiri wetu Bahiliii .....

Kwani YANGA waliomba kibali cha Tamasha la mpira au Fiesta??

Jengine:-
Swali:- Mpira wa YANGA unasiasa?
Jibu:- Kwani 03/08 Nani aliongea na mgeni rasmini alikua nani??

Wananchiiiiiiii


#YNWA
#YANGA_BINGWAA
20240804_052240.jpg
 
Wameruhusu kupigwa mapema sana.
Au Chama hajaingia uwanjani
 
Back
Top Bottom