Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nataka wafungwe mapemaUliambiwa mechi inaanzia saa ngapi? Azam wamesema mechi itaanza saa 2 na nusu Sasa unapiga kelele ya ninj
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka wafungwe mapemaUliambiwa mechi inaanzia saa ngapi? Azam wamesema mechi itaanza saa 2 na nusu Sasa unapiga kelele ya ninj
Ya zambiaAngalieni burudani magoli yanakuja.
Hiyo hiyo mwendo wa visigino.Ya zambia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilitaka niandike mapema kua leo tutaboronga kila kitu
Naona dalili imeanza
Bora niwe zangu Singida na Guede wangu
Tulia ww mtoto mdogo yako nepi kalaleTayari utopolo ashatiwa😂😂😂😂
Haya ndo mambo yetu sasa..Mambo tunayopenda kuyaona🤣🤣🤣
KumbukiziSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
Jamani wenye nchi tusikubali, Hizi dharau sanaaaa kwa sisi na Tajiri wetu Bahiliii .....
Kwani YANGA waliomba kibali cha Tamasha la mpira au Fiesta??
Jengine:-
Swali:- Mpira wa YANGA unasiasa?
Jibu:- Kwani 03/08 Nani aliongea na mgeni rasmini alikua nani??
Wananchiiiiiiii
#YNWA
#YANGA_BINGWAA
mtashinda njaa.Hii mechi Yanga tunashinda, kutangulia sio kufika