Kumfunga Mzee kunataka timingArrow Vipi Mishale imeisha???
Au ana njaa apewe supuUnaambiwa Diara alikuwa anasinzia[emoji23][emoji23]
Dogo hana ufahamuAu Harmonize alimaanisha hiki kinachoendelea alivyokuwa anasema "Bomboclatch" [emoji23]
Watu tunakaa Lindi tunataka Mambo yapigwe haraka haraka Tuwahi Mbagala Rangi Tatu mabasi ya kwenda KusiniKumfunga Mzee kunataka timing
We tulia tu
Arrow Vipi Mishale imeisha???
πππWatu tunakaa Lindi tunataka Mambo yapigwe haraka haraka Tuwahi Mbagara Rangi Tatu mabasi ya kwenda Kusini
Na ndio maana tunavifanyia kwenye mabonanza husitegemee tarehe nane itakuwa hivi. Leo ni mwendo wa burudani, kitest mifumo na sub. Nyie mnakaza mpaka kwenye mabonanza.Halafu twote twakijinga
[emoji23][emoji23]Bomboclat ni Motherfu*** ujue [emoji1787][emoji1787]
ππDaaah tunewakosa lapili
π€£π€£π€£π€£πππ
Mara zote Yanga haileti timu pinzani kwaajili ya bonanza... Ni kujipima haswakwani hawakuwapanga hao jamaa? washaharibu sherehe utopoloni