Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Paul Katema nahodha wa Red Arrows aliwahi kupita Azam Fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana tunavifanyia kwenye mabonanza husitegemee tarehe nane itakuwa hivi. Leo ni mwendo wa burudani, kitest mifumo na sub. Nyie mnakaza mpaka kwenye mabonanza
Ndo mshatobolewaNa ndio maana tunavifanyia kwenye mabonanza husitegemee tarehe nane itakuwa hivi. Leo ni mwendo wa burudani, kitest mifumo na sub. Nyie mnakaza mpaka kwenye mabonanza.
Mbona bado mapema sana😂mzize atakaa bench sana
tatizo la yanga mashabiki watasusa tar 8 wasije. mashabiki wao roho ndogo hawana simile watasusa gsm awaambie waingie breeee mwishoeMara zote Yanga haileti timu pinzani kwaajili ya bonanza... Ni kujipima haswa
Jana Kalikuwa na Mdomo sana 🤣🤣🤣Mna roho ya kunguni nakaonea huruma ka ephen_ tu😁
mbadala wa guede n nanAngekua Guede wangu, aibu hizi ndogo zisingekuwepo
Watu weuweee! Kumbe jana uliumia na maneno yangu☺️Jana Kalikuwa na Mdomo sana 🤣🤣🤣
😆😆Jana Kalikuwa na Mdomo sana 🤣🤣🤣
Leo anapita kama anaaga maiti😁Jana Kalikuwa na Mdomo sana 🤣🤣🤣
Hamna hapo wa kusema ni mbadala wa Guede!mbadala wa guede n nan
tuzime TVHamna hapo wa kusema ni mbadala wa Guede!
mbadala wa guede n nan
😁😁 mfuate huko alipo apa ni chama tu.Angekua Guede wangu, aibu hizi ndogo zisingekuwepo