FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Na ndio maana tunavifanyia kwenye mabonanza husitegemee tarehe nane itakuwa hivi. Leo ni mwendo wa burudani, kitest mifumo na sub. Nyie mnakaza mpaka kwenye mabonanza

Na ndio maana tunavifanyia kwenye mabonanza husitegemee tarehe nane itakuwa hivi. Leo ni mwendo wa burudani, kitest mifumo na sub. Nyie mnakaza mpaka kwenye mabonanza.
Ndo mshatobolewa
 
Mara zote Yanga haileti timu pinzani kwaajili ya bonanza... Ni kujipima haswa
tatizo la yanga mashabiki watasusa tar 8 wasije. mashabiki wao roho ndogo hawana simile watasusa gsm awaambie waingie breeee mwishoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…