Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Mzize akiacha wenge, ana kitu.
Ubaya ubwela tu!🥹Na bado, ubaya ubwela
Mzize ni kama anatembea na mojawapo ya viongozi wa club.Mzize anaziba nafasi za Watu wa boli
Tushapita huko... Hatujui kususatatizo la yanga mashabiki watasusa tar 8 wasije. mashabiki wao roho ndogo hawana simile watasusa gsm awaambie waingie breeee mwishoe
Daah, sasa mwanaume anatembeaje na viongozi au unamaanisha kiongozi wa kike?Mzize ni kama anatembea na mojawapo ya viongozi wa club.
Nipo napita pita humu kuimarisha ulinzi wako. Ngoja tusubiri akiingia Aziz K,Max Zengeli,Bacca,Dube,Yao Yao .Najuwa hawa Red Arrow lazima watatapika Damu.Lucas Mwashambwa kiwatengu Tate Mkuu Vincenzo Jr Mwachiluwi Evelyn Salt Madame B mpo wapi?
Situlikua tunashangilia muda ule
Kwani mshalala?🤔
Yaani ww mpaka hili bonanza unalitolea macho jidanganye.Ndo mshatobolewa