Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Boli linatembea sana🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mioyo inaenda mbioLucas Mwashambwa kiwatengu Tate Mkuu Vincenzo Jr Mwachiluwi Evelyn Salt Madame B mpo wapi?
Situlikua tunashangilia muda ule
Kwani mshalala?🤔
Hahahaa polee. Umechagua mwenyewe upande wa mtaesoUbaya ubwela tu!🥹
Kwa joints zipi?Yaani uendeshe bodaboda miaka miwili afu unataka ufunge gola tik-tak
Ndio maana Gamondi anaendelea kukisubiri hicho kituMzize akiacha wenge, ana kitu.
Hata Simba iliwatoa Klabu Bingwa kwa mbindeHawa red Arrows wanakitu.
Wanamzingua dogo. Bila kujia kila mtu ana ngekewa zakeAlikamwe anafurahi huko alipo. 😀😀😀😀
Hizi kwa Simba ni sikuku, ila young ni vikombeMuda wote huu hata moya hamnaa ??? Sikukuu imeingia ruba