FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Refa kaharibu Mechi kwa maamuzi ya kijinga. Yanga lengo lao wajipime, sasa Reffa kwa upuuzi wake anaanza kugawa kadi utazani mechi ya mashindano. Ona sasa mechi imepoteza maaana kwa maamuzi ya fala mmoja toka Kiembesamaki
 
Hahahahha 🀣🀣🀣
Vipi Red card..

Mnatoa Red card Mpaka Kwenye EXHIBITION GAMES 🀣🀣🀣 Yaani FRIENDLY MATCH ..

Ili mfunge
Dr enjoy football....usiangalie mpira ukiwa umeshusha miwani chini kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…