Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Kamwe kalazwa tena Agha Khan, alizimia alipopigwa kidole na shabikiAlikamwe anafurahi huko alipo. 😀😀😀😀
Hapa unapangwa tunna kisirani chakoUsinipangie
🤣🤣🤣 wanasemaje? Wanakudanganya haoNasikiliza redio apa wana danganya itakua 🤔
Mdaka mishale si yupo mangi?Za ndaaaaaani! Huyu goal keeper msimu ujao atakua golini kwa Yanga
Lakini hao jamaa si waliwafumua goli tatu.?Ahahaha sawa ila ile timu yakujisifia kwamba mliwashinda kwa mpira ule
Dr enjoy football....usiangalie mpira ukiwa umeshusha miwani chini kidogoHahahahha 🤣🤣🤣
Vipi Red card..
Mnatoa Red card Mpaka Kwenye EXHIBITION GAMES 🤣🤣🤣 Yaani FRIENDLY MATCH ..
Ili mfunge
Kashalewa mwache.
🙏🏼 Hakulaliki kelele balaa Bora wamalize.78 sekunde 53
Yani kwa redio yanga bigwa ,wanaubonda mwingi🥲🥲🤣🤣🤣 wanasemaje? Wanakudanganya hao
GK yupo vizuri
🤣🤣🤣🤣
unaishi temeke?🙏🏼 Hakulaliki kelele balaa Bora wamalize.
Haha kelele kutokea sebuleni au uwanjanu🙏🏼 Hakulaliki kelele balaa Bora wamalize.