FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Yupo sahihi. Kustaafu( retirement) kazi kupo kwa aina Tatu

🔹Kufukuzwa

🔹Kuacha kwa hiari

🔹Kutimiza umri wa kisheria ( uzee)

🔹Kufariki
Sasa Bacca ni none of the above.

Bacca yupo likizo isiyo na malipo.

Akitoka Yanga anarudi jeshini.

Bacca hajastaafu.
 
Back
Top Bottom