DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwa Yanga Ipi 🤣🤣🤣Tusubirie tar 8 tuone maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Yanga Ipi 🤣🤣🤣Tusubirie tar 8 tuone maajabu
🤣🤣 Haya tupige konaNina imani na timu yangu
Kwahiyo ndo kusema kipa wao bora sana au na sisi hatujui kufunga?Kipindi cha kwanza tumemaliza na position ya 60+ bado attempts zaidi ya 12. Bado tumebebwa?
Sawa mkuu furahia 😁Kipindi cha kwanza tumemaliza na position ya 60+ bado attempts zaidi ya 12. Bado tumebebwa?
Tukutane tar 8 mkuuMpira Umeharibiwa na Refa baada ya kutoa Kadi nyekundu
Dr upo glass ya ngapi?Ampibia Tunaomba Refa Alipwe Pesa zake kwa wakati tumezoea kuwaona hamlipi watu kwa wakati maana hata wachezaji hamlipi kwa wkati na mnakesi nyingi FIFA..
Mhurimieni Refa ana FAMILIA ..mlipeni kwa wakati
Mumlipe Maana Mmeshamtendesha DhambiRatiba imechelewa kuanzia shows hadi mechi, kwa hiyo naye refa awe mvumilivu
Tukutane tar 8🤣🤣 Haya tupige kona
Nni ww? Unazani tarehe nane ataanza huyo...... jidanganyeni.Apewe kandarasi mpya, tuna imani nae
Red cardBahasha kivipi? Hujaona goli?
Bado sijaridhishwa; ilitakiwa 3-0 au 3-1Mmeshapunguziwa workload
AlistahiliRed card
Ya Mukwala na Mutare🤣Kwa Yanga Ipi 🤣🤣🤣
Mimi mwenyewe nilizani hivyo hivyo.Mi nilijuaga harudi nashangaa wamemrudisha
Hahahahha 🤣🤣🤣Dr upo glass ya ngapi?
hadi kwenye bonanza?Alistahili
gari ya mkaa huyo one trip shamba one trip Temeke gereji.Nani kaona kuwa Dube anachechemea?