FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Mdaka mishale si yupo mangi?
Hawezi kua active msimu mzima, huyu akishasign tutakua tunamchezesha game ndogo ndogo ambazo hazina pressure kama Simba, pamba, mashujaaa na alliance, mid table team kama coastal na namungo atacheza mshery, tukicheza na giant mwenzetu(Azam) bas diara golini
 
🤣🤣🤣 jidanganye na hao wababu wenye vibara wa mwaka wa 47
 
Back
Top Bottom