FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Msimu umekuwa mbaya huu.
 
Simba wanacheza bora liende.wachezaji utafikiri wana mawe kiunoni.na kocha hana mipango mbadala zaidi yakurusha mikono.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Furaha mnatupa nyie makolo leo, sisi kazi yetu leo kuwakanda.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haituhusuuu, kikubwa mlifurushwa na masandawana kwa maumivuu mnoo. Kidonda hakiponiii kamwee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…