Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzize anakua vizur mechi za akina jkt na vitimu vidogoMzize ni mzigo, ni kama gunia la viazi
4 + tu = 6. 😂😂😂😂
Nguvu ya kunya?
Hii imeisha boss. Ngoja tuone usajili utaendaje msimu ujao.Nipo na brother angu na ndugu zangu kadhaa wote Ni washabiki wa Simba vs shemeji zangu na family friends kadhaa Wana YANGA
Kwakwel wanasimba tupo kinyonge Sanaa 😊
Na kila nikitizama sioni mbele Ni Giza sidhani Kama tunaweza ku equalizer
Pale mbele hatuna watu kwa kweli ntibazonkinza amezeeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanacheza na experance leo.Hadi waseme kama lile goli la azizi kule south lilikuwa halali ndio tunawasamehe
Leo wakitoka hapa kila kiporo Cha mwamedi wakimalizie leoleo. Watu timu hamna wanajifanya wehu.Kwa ushauri kipindi cha pili wasirudi uwanjani
Msimu huu hakuna mbele kokote pa kwenda. Mechi zilizobaki hata wakifunga goli 500 hazina maana.Hapana wangeacha mabifu yao ya Kijinga kati ya Try Again,Mangungu na Mo simba ingeenda mbele
Zama za kale Mtani. 😂
Niseme nini?Mpaka mseme
🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa ni nyie na sisi, hao wezi wa magoli hatuna time nao.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masandawanaa walikata ngebee zotee.
Hayo mengine ni yenuuu, hayatuhusuu.