FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

4 + tu = 6. 😂😂😂😂
FB_IMG_1713540041138.jpg
 
Nipo na brother angu na ndugu zangu kadhaa wote Ni washabiki wa Simba vs shemeji zangu na family friends kadhaa Wana YANGA

Kwakwel wanasimba tupo kinyonge Sanaa 😊

Na kila nikitizama sioni mbele Ni Giza sidhani Kama tunaweza ku equalizer

Pale mbele hatuna watu kwa kweli ntibazonkinza amezeeka
Hii imeisha boss. Ngoja tuone usajili utaendaje msimu ujao.
 
Simba haya ni matokeo ya kupuuza kuwa na strikers, then utegemezi kufunga KANOUTE, NGOMA , SAIDOO, KIBU....
 
Back
Top Bottom