FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

We unafikiri akina Hersi nao wamelala?
Ok boss, Sasa tutegemee Mo kuondolewa maana according to you hii mechi ndo ilikuwa inatumika either try again kutoka au Mo.
 
Siku ya mbivu na mbichi kujulikana, mechi yenye siasa nyingi kuliko zote kuwahi kutokea nje ya uwanja.

Imefikia stage siko excited na matokeo ya uwanjani, bali matokeo ya uwanjani yataamua nini nje ya uwanja?
Tusubiri tuone.
Imeisha hiyoo..
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…