Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Huyo ni Kenge hasikii hadi avuje damu. Hii ya leo 5 zilikuwepo ila hizi timu pia huwa zinalindana na kuheshimiama. Game imeisha, maisha yaendelee.Kwahiyo wewe mpaka upigwe 5 ndio usikie maumivu sio?