Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Mudathir inabidi ajijue yeye sio Pacome, aachie mpira haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa cha maandalizi ya msimu ujao.Sasa kile kikao cha Mo na wale viongozi wetu wengine kilikuwa cha nini jamani. 😂😂
Mo hajawahi ingia uwanjani, angezirudishaSasa mbona sisi tulikifurahia as if leo tungerudisha zile tano. 😂😂😂
Napokea salamu zangu kwa moyo woteMkuu nakusalimia.
Kukubeba kwenye baiskel🤣🤣🤣🤣 Vitu vinavyosababisha tetenasi hapana.!! Mkuu hiyo zawadi baki nayo nashukuru 🙏
Zawadi ipo pale pale toa/sema namna ya kuipata mkuu🤣🤣🤣🤣 Vitu vinavyosababisha tetenasi hapana.!! Mkuu hiyo zawadi baki nayo nashukuru 🙏
Tuombe MunguTunarudi na come back matata
Anakaa sana na mpira na kupotezaMudathir inabidi ajijue yeye sio Pacome, aachie mpira haraka.
Wewe dawa yako kukukatia tiketi ya kwenda kumsalimia shangazi maporini, ukirudi akili itakukaa vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujua una maumivuu, wee tulizanaa.
Kile kidonda hakiponi harakaa,
Bado sijaona refa akimbeba simbaRefa anawabeba sana Simba
Chat yako ina camera hadi uwaone?Kuna watu siwaoni humu leo
Ni kama kiwango chake hakina msaidiziKibu inabidi atoke pale simba anapoteza muda tu