FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Chunguza kila mara mchezaji wa Simba sc akiguswa kidogo tu refa anapuliza filimbi lakini kwa Yanga Sc ni hadi faulo iwe ya wazi sana ndio anaweka.
Yaani hapa mnabebwa? Kweli malalamiko ni tabia.
 
Inauma kwa kweli sema ndo hivyo tena tufanye nini. Kinachonikera zaidi majirani zangu ni Mautopolo mtupu halafu naona kama yamefanya makusudi kuja kuangalia mechi ghetton wakati mwenyewe nilikuwa naangalia tamthilia ya Jumong😡
Si uwaambie demu wako anakuja
 
Always nawaambia watu, Simba hakuna timu pale na ukipata muda vizuri angalia marudio ya nusu ya mechi za Simba utaona namna ilivyo, angalia hii timu Kwa umakini kabisa kama mwanampira Kuna vitu utaviona Kwa Simba ambavyo utakiri kabisa kuwa hapo hamna timu..
 
Nshakuwa chawa wako 😂
Muda mrefu kwan hujijui??? Hiyo leo kuna mtu nimemwambia namtumia novena kupitia ww kisha umtumie.!! Weee asiniambie kwann usinitumie mwenyewe badala yake umtumie chawa wako 😂😂😂😂😂
Nikasema oohh kumbe half ni chawa wangu?!!
 
Back
Top Bottom