Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji23][emoji23]Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
Kwahiyo wewe mpaka upigwe 5 ndio usikie maumivu sio?Kutamba koooote ndo ushindi gani sasa?
Mpaka Marefa Wahusike?
Nyie washabiki ni ........?Simba viongozi ni mikund*, huwa nasema kila siku
Duuh😅😅😅Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
Tujipange next season. Hili limepita.Pongezi ziende kwa mtani anaupiga mwingi,Simba inabidi tuendelee kujiboresha zaidi
Shida ni kwamba je tutajipanga?[emoji23]Tujipange next season. Hili limepita.
Leo katika kitu kimenshtua na kujua kua kumbe kibu Denis tangu ligi ianze amefunga goli 1 pekee, aisee
Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
kwamba ile penati ya mchongo, alijiangusha amaShida migoli ya Marefa
Simba ni Simba, ameanguka atasimama.Shida ni kwamba je tutajipanga?[emoji23]
Lini?Simba ni Simba, ameanguka atasimama.
We unafikiri akina Hersi nao wamelala?Haha naona pesa za mo hazijasaidia kitu mkuu au ilikuwa danganya toto tu