FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Eti tuna kocha wa mpira wa kasi na kushambulia ,usajili mzuri ila kocha garasa
Ni matokeo tu Mtani. Mpira ulikuwa wa moto kwa pande zote mbili. Mjifunze kwa sisi wenzenu.

Hata tulipofungwa na Vipers, bado tulikuwa na imani na timu yetu, na pia benchi zima la ufundi. Mpeni kocha wenu nafasi, lakini pia wapeni nafasi wachezaji wenu.

You can make it in the future.
 
Nimeumia sanaaaa
 
Acha utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…