FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Aisee
IMG_20220813_211108.jpg
 
Ni matokeo tu Mtani. Mpira ulikuwa wa moto kwa pande zote mbili. Mjifunze kwa sisi wenzenu.

Hata tulipofungwa na Vipers, bado tulikuwa na imani na timu yetu, na pia benchi zima la ufundi. Mpeni kocha wenu nafasi, lakini pia wapeni nafasi wachezaji wenu.

You can make it in the future.
Serbs ni wabishi sana. Huyu asepwe tu. Hatutamuweza
 
Back
Top Bottom