FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kinachowauma simba sio kufungwa goli mbili bali mfungaji kuwa mayele inauma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji4][emoji12]
 
anamtoa chama na kumwingiza mzamiri , halafu anamwachaje Phiri mchezaji professional player ? Anamwingiza Mwenda anamwacha kapombe ,shameless

Phiri hakuwepo Kabisa. So Far Simba Ina Timu nzuri sanaa.

Okrah, Okwa Na Chama Wako moto sanaa.. Leo sijaona tatizo pale Katikati ila Mbele mtu kama Phiri Anahitajika sana kwasababu Ya Nguvu na Akili ya Mpira tuombe Derby ijayo awe Vizuri tuoneshe ubora wetu

So Far Simba Ya Msimu huu ni nzuri sanaa… Matola Tuu ana Mshauri vibaya Zoran
 
Niliambiwa jambo toka siku nyingi kuhusu yuke mwanamke wa simba nikalipa muda lkn naona kila siku maneno yanatimia simba wasipomtimua yule mwanamke watafungwa kila siku na Yanga....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji81][emoji81][emoji81]maniner
536254429.jpg
 
Phiri hakuwepo Kabisa. So Far Simba Ina Timu nzuri sanaa.

Okrah, Okwa Na Chama Wako moto sanaa.. Leo sijaona tatizo pale Katikati ila Mbele mtu kama Phiri Anahitajika sana kwasababu Ya Nguvu na Akili ya Mpira tuombe Derby ijayo awe Vizuri tuoneshe ubora wetu

So Far Simba Ya Msimu huu ni nzuri sanaa… Matola Tuu ana Mshauri vibaya Zoran
Simba wachezaji wanaotakiwa kupewa namba ni
Manula ,Kakolanya ,Inonga ,Ottara ,Kapombe ,Shabalala ,Oyango , Chama ,Okra ,Okwa , Phiri,Sakho ,Kibu ,Akpan,Mkude .

Kama wachezaji wazuri wote hao kocha anashindwa kuwapanga basi ni kilaza.
 
Back
Top Bottom