cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
NipoooooooohAmeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NipoooooooohAmeisha
Leo lazima wanaume wakuleNipooooooooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeeenaaaaaah!!! Wapi byuti byuti????Kwisha habari yako.
Nilikuambia, nadhani umeelewa sasa. Mmekula zenu mmelala.Nipooooooooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaah!!!.Nilikuambia, nadhani umeelewa sasa. Mmekula zenu mmelala.
Simba wachezaji wanaotakiwa kupewa namba ni
Manula ,Kakolanya ,Inonga ,Ottara ,Kapombe ,Shabalala ,Oyango , Chama ,Okra ,Okwa , Phiri,Sakho ,Kibu ,Akpan,Mkude .
Kama wachezaji wazuri wote hao kocha anashindwa kuwapanga basi ni kilaza.
DEVILSimba 3 vs Yanga 2
Magoli ya simba
Sakho [emoji460]️
Zuchu [emoji460]️
Irene uwoya[emoji460]️
Magoli ya Yanga
Mayele [emoji460]️[emoji460]️
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imagine nyie mnatumia nguvu zenu alafu wenzenu wameingia vikosi viwili pamoja na kundi la fisi hata ivo tumejitahid sana hii mechi kwa sis wenye macho ya rohoni haikua mechi ilikua ni vita
Watu au vijitu mkuu????Huu ujinga niliuona tu, toa kyombo toa mwenda ingiza watu
Timu tunayo ttzo upangaji wa kikosi.Phiri hakuwepo Kabisa. So Far Simba Ina Timu nzuri sanaa.
Okrah, Okwa Na Chama Wako moto sanaa.. Leo sijaona tatizo pale Katikati ila Mbele mtu kama Phiri Anahitajika sana kwasababu Ya Nguvu na Akili ya Mpira tuombe Derby ijayo awe Vizuri tuoneshe ubora wetu
So Far Simba Ya Msimu huu ni nzuri sanaa… Matola Tuu ana Mshauri vibaya Zoran
[emoji172][emoji169]Leo natabiri Uwiano wa Goal 2+
KILA LA HERI YANGA YETU [emoji172][emoji169][emoji2522][emoji617][emoji460]🫶[emoji123]
ukiacha refa kuwabeba Uto sub ya kocha wetu imetucost,Mzamiru amejiishia kitambo mno sijui ameongezwa mkataba kwaajili gani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaah!!!.
Sana, unamtoaje chama jmn wkt alikua yupo kwenye form nzuri tu. Kocha kazingua sn leoukiacha refa kuwabeba Uto sub ya kocha wetu imetucost,Mzamiru amejiishia kitambo mno sijui ameongezwa mkataba kwaajili gani.
Kitendo cha kumtoa chama, aliniboa mnoo. Khaaaah.ukiacha refa kuwabeba Uto sub ya kocha wetu imetucost,Mzamiru amejiishia kitambo mno sijui ameongezwa mkataba kwaajili gani.
Mambo vipi mbwaJiandae kuitwa mbwa