FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Simba wachezaji wanaotakiwa kupewa namba ni
Manula ,Kakolanya ,Inonga ,Ottara ,Kapombe ,Shabalala ,Oyango , Chama ,Okra ,Okwa , Phiri,Sakho ,Kibu ,Akpan,Mkude .

Kama wachezaji wazuri wote hao kocha anashindwa kuwapanga basi ni kilaza.

Leo Akpan alipaswa kuanza kabla ya Kanoute kwasababu Kanoute hajawa na Timu kwa Muda Mrefu. Ngoja tuone Ligi ikianza tutajua lakini asije leta huu Ujinga kwenye CAF
 
Imagine nyie mnatumia nguvu zenu alafu wenzenu wameingia vikosi viwili pamoja na kundi la fisi hata ivo tumejitahid sana hii mechi kwa sis wenye macho ya rohoni haikua mechi ilikua ni vita
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Phiri hakuwepo Kabisa. So Far Simba Ina Timu nzuri sanaa.

Okrah, Okwa Na Chama Wako moto sanaa.. Leo sijaona tatizo pale Katikati ila Mbele mtu kama Phiri Anahitajika sana kwasababu Ya Nguvu na Akili ya Mpira tuombe Derby ijayo awe Vizuri tuoneshe ubora wetu

So Far Simba Ya Msimu huu ni nzuri sanaa… Matola Tuu ana Mshauri vibaya Zoran
Timu tunayo ttzo upangaji wa kikosi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaah!!!.
ukiacha refa kuwabeba Uto sub ya kocha wetu imetucost,Mzamiru amejiishia kitambo mno sijui ameongezwa mkataba kwaajili gani.
 
Back
Top Bottom