Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Pole weeee. Hahahaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole weeee. Hahahaaa.
Kabisa. Baadhi ya sub alizofanya ni za hovyo sana. Na kuchelewa kufanya sun pia ni upuuzi mwingine.Kocha wa Yanga kaweka full squad kafanya sub 2 tu imebadili kila kitu ,naye why asiweke squad ya kueleweka ,yaani kwenye kombe anakuja na kikosi cha majaribio ,inshort hatuna forward leo
Pole sana mtani!! Jaribu kunywa maji mengi ili upate walau usingizi hapo baadaye.Nimeumia sanaaaa
PoleNimeumiaaaaaa
Bia zipo sinza karibuni leo tunakesha hapaPole weeee. Hahahaaa.
Muungwana mmojaHongera MTANI... well Done
Pole sana mtani!! Jaribu kunywa maji mengi ili upate walau usingizi hapo baadaye.Nimeumia sanaaaa
kocha ni ****,kaanza na kikosi cha kijingaHii game lawama zote kwa kocha huu upumbavu
Atakuwa amepigwa na kitu kizito kichwani bila shaka.aliyeleta uzi kaukimbia sijui kwa nini,unapoleta uzi jitahidi kuwa neutral la sivyo utakimbia uzi
Hahahaaaa. Wazilete wazilete.updates za mzungu vipi huko?
Serbs ni wabishi sana. Huyu asepwe tu. HatutamuwezaNi matokeo tu Mtani. Mpira ulikuwa wa moto kwa pande zote mbili. Mjifunze kwa sisi wenzenu.
Hata tulipofungwa na Vipers, bado tulikuwa na imani na timu yetu, na pia benchi zima la ufundi. Mpeni kocha wenu nafasi, lakini pia wapeni nafasi wachezaji wenu.
You can make it in the future.