Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaMayereeeee
Nini jamani huko
Tunaanza upya. Dadeki.
Sidhani kama ni fact sana kwasababu mpaka kupata muunganiko kuna hitaji muda na sio swala la kulipima kwenye mechi mbiliLeo mashabiki wa Yanga na Simba mtatapika yote ya moyoni, viongozi wenu waliwashika masikio na kuwaaminisha wamesajiri wachezaji wenye viwango vya ulaya kumbe hawana hata sifa ya kucheza ndondo cup.
Mpaka Sasa Mechi imebebwa na wachezaji wale wale wa siku zote.