Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona....Nakuona[emoji1787]Ka Fei baby kanawaokoaga sana Yanga ila ndo hivyo toka aje Asisi wamemsahu
Msiturushie ubovu wenu kwetuSimba akikutana na Azam anaweza kufungwa hata goli 4 - 0.
Nakuona pia nilikuqoute juu kumbe imekuja tuu "upo besty" hahhhahahNakuona....Nakuona[emoji1787]
Nyinyi pokeeni tu huo moto mnaopelekewa msianze habari za Simba hapa, hata wewe ulitakiwa kuwa umepigwa mpaka sasa wewe uliona wapi goli lifingwe kwa mpira uliotoka nje?[emoji23]Simba akikutana na Azam anaweza kufungwa hata goli 4 - 0.
Mayele ni mzee wa one mistake, one goal! Mkabe dakika 89, ukimuacha dakika 1 tu ya 90, anakuadhibu.Nyieee kweliiii kwani mayele hayupoooo
Kwahiyo mmekubali kuzidiwa uwezo na Azam Fc? Assume tunatoa lile goli lenu la kwanza (ambalo ni la mchongo).Kabisa mkuu, sio kwa pira hili
Napokea salamu zako kwa mikono miwili ndugu mjumbe 😂[emoji1787]Nakusalimia Mwenyekiti..
Anapoteza muda wakati wao ndio wapo nje ya muda, hiyo ni ishara ya kuukubali mziki.[emoji1]Morisson anapoteza muda kizembe sana
Ratio.Azizi Ki [emoji23][emoji23][emoji23]