FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Ila Kwasababu Azam Wamekuja Na Tafsiri ya Kusema Tunavunja Record Ya Yanga Basi Watafungwa
 
Lomalisa kafanya kazi nzuri kuutoa nje mpira na kuacha iwe kona vinginevyo
 
Yanga wanacheza offside ya kwanza kutoka kwa nkane
 
Nawatakia Ushindi wa Kishindo Wananchiiii[emoji172][emoji169]
 
Daah Azizi Ki ana uchu na goli yani sehemu ya kutoa assist kagumua bonge la mshuti afu kapaza sasa
 
Morrison amenichongea hiyo cross matata sana
 
Mpira umenoga tuache masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…