FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Mashabiki wa Yanga huwa hawana imani kabisa na team yao, hapa sasahivi huwaoni mpaka wafunge [emoji1].
 
Ujinga wa wachezaji wa Yanga kila mmoja anataka aonekane star akifunga

Alianza Azizi Ki, akaja Mayele na saizi namuona Nkane anarudia walichokifanya ndugu zake. Sehemu ya assist we unataka ufumue shuti mwisho wa siku mpira unaenda nje na kuwa goal kick
 
Hawa Azam wanasumbua Mahakama tu, Lazima wafungwe tu na Hakimu wetu Yanga
 
Ujinga wa wachezaji wa Yanga kila mmoja anataka aonekane star akifunga

Alianza Azizi Ki, akaja Mayele na saizi namuona Nkane anarudia walichokifanya ndugu zake. Sehemu ya assist we unataka ufumue shuti mwisho wa siku mpira unaenda nje na kuwa goal kick
Ndio walikupiga hao
 
Back
Top Bottom