FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Na Mpenja anaboa kwa utangazaji wakea anasema eti Djgui Diarra amepishana na mshale ambao umechana chana protector afu ukaingia kambani
 
Kama jinsi ambavyo Simba Sc walipigwa kwa mzungu, ndivyo jinsi ambavyo Yanga mmepigwa kwa Lomalisa na Bigirimana.
Ukweli mtupu. Hata golikipa wetu Diarra kwa sasa anachezea jina tu. Ila uwezo wake huwezi kuulinganisha na mzawa Abuutwalib Mshery.
 
So far Yanga bado nawapa asilimia ya ushindi

Cha muhimu watulize hisia zao wafocus kwenye ball
Azam wako vizuri. Kocha asipofanya mabadiliko ya lazima, leo tunafungwa. Bigirimana anacheza kifaza sana. Sure Boy na Fei Toto wakiingia, ndipo unafuu utakapo patikana.
 
Hii mechi ikiisha halafu statistics zikasema Yanga ame posses mpira kuliko Azm nitaona kuna namna fulani hapa timu inapewa favour
 
Na Mpenja anaboa kwa utangazaji wakea anasema eti Djgui Diarra amepishana na mshale ambao umechana chana protector afu ukaingia kambani
Sijawahi kumkubali huyu jamaa kwenye kutangaza mpira
 
Kadi ya njano ya pili dakika ya 39 ikienda kwa Dickson job the captain
 
Back
Top Bottom