FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Mamamamamamamama
Unaguswa mpira hapa **** timu yenye jezi za kijani wanapigiwa through pass

No interception
 
Gemu kali....

Azam wapo vizuri... Huyu Bajana ni mtu na nusu... Japo nawapa Uto nafasi ya kushinda...
 
Azam Wasichambur wachezaji walio Cheza Nao Wachambue walio Bench Akina Feisal na Sure Boy
 
Azam wana wachezaji wazuri sijui huwa wanakwama wapi?
 
Leo mnapasuliwa kinyama
Kocha Nabi naye kuna wakati mawenge yanampanda kichwani. Mechi ya leo hakutakiwa kuwaanzisha Bigirimana, Morrison na Nkane kwa wakati mmoja.

Hawa siyo wakabaji! Kiungo kimekufa kwa sababu tu ya upangaji mbovu wa timu. Kipindi cha pili Sure Boy, na Fei Toto waingie kuongeza mashambulizi.
 
Back
Top Bottom