FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Yani huyu mjinga Daniel Amo amekosa adabu kiasi gani mpaka aanze kutambaa kama chura kwa staili ya Morrison afu mbele yake?
 
MamamMama Yanga wanapoteana wenyewe kwa wenyewe hapa almanusra liwe goli la pili
 
Kadi ya njano ya kwanza ya mchezo ikitolewa dakika ya 28 ikienda kwa Sospeter mchezaji wa Azam
 
Wananchi tukubali tu ukweli huyu Joyce Lomalisa tumepigwa. Yaani leo amekuwa ni uchochoro wa Azam.
Kama jinsi ambavyo Simba Sc walipigwa kwa mzungu, ndivyo jinsi ambavyo Yanga mmepigwa kwa Lomalisa na Bigirimana.
 
Back
Top Bottom