FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Ndo huyohuyo....Ndo huyohuyo [emoji445][emoji445]

Mdaka mishale...Ndo huyohuyo[emoji445][emoji445]
 
Kwanza huko Yanga kuna mizigo mingi Sana..

Azam hawana Kocha ndio maana hiyo timu haina muunganiko ila ina wachesaji wenye uwezo zaidi kama Kipre Junior..

Timu za maana msimu huu ni Singida na Azam zingine hizo za kina Yanga na Simba zinasubiria mbeleko kama penati hii..

Dube kachezewa faulo kwenye penalty box Wala hakuna penalty 😆😆
 
Hawa Azam sports hawa wanaleta uvhonganishinkwa hizi rellay zao za kuonesha tukio kama hilo lililopuuzwa na refa halafu tukio hilo hilo uoandw wapili imekuwa penati
 
Back
Top Bottom