FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Kwa hiyo mashabiki wa Yanga ndio walikuwa wanazusha kwamba Pacome kafungiwa na Yanga wapokwe point kwenye mechi alizohusika Pacome?

Nyie Simba sijui mna matatizo gani, badala muangalie timu yenu inafanya vibaya na kupata ufumbuzi wa kiwango kibovu kinachooneshwa na timu yenu, mpo bize mitandaoni kuzusha taarifa za uongo dhidi ya mpinzani wako.

Endeleeni hivyo hivyo kutofatilia muenendo wa timu yenu ili mpate ufumbazi, siku mkija kustuka wenzenu washabeba ndoo misimu mingi mbele.
 
Sijaangalia mpira ila ona hii offside kuelekea goli la kwanza na mshika kibendera yuko hapo hapo

Reactions: Tsh
Sijaangalia mpira ila ona hii offside kuelekea goli la kwanza na mshika kibendera yuko hapo hapo

View attachment 2978564
Mguu wa beki uliua offside ukiangalia vizuri. VAR za mambele huko zinakuonyesha hata inch moja tu inavyoua offside.

Ila tufanye hiyo ni offside Yanga kabebwa. Kwani mzee bado hujazoea tu Yanga na Simba kubebwa. Hayo matukio ya offside yapo sana na tumeyazoea. Kwahiyo hayo mambo ni yale yale hakuna jambo jipya hapo.
 
Usiijumuishe Simba katika hiyo kauli yako maana Simba imekuwa kama timu ndogo tu, hadi marefa wanaionea wanavyojisikia. Najua ukijifungia ndani ukakaa mwenyewe unajua kabisa hiyo ni offside
 
Na ndiyo maana nimesema tufanye hiyo ni offside na Yanga kabebwa. Na hizi drama za marefa kwa timu ya Yanga ni kawaida sasa. Marefa kufunguwa ni kawaida sababu ya kuibeba Yanga.

Endeleeni kuongea ila sisi point tatu tushachukua
Au basi tufanye hilo goal la offside tusilihesabu iwe 2:0
Hapo vipi?🀸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…