ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sijajua mkuuPacome atakuwepo???
No Pacome no Problems🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua mkuuPacome atakuwepo???
Ni mchezaji halali.Pacome mchezaji haramu atakuwepo????
"Mpaka fainali"Nimeshaonana nae mkuu, Asante!
Hayo maneno yana maana gani
Kilugha gani hicho?"Mpaka fainali"
Shida nini?? Pacome hacheziNi mchezaji halali.
Hapana hatakuwepo
Kuna mambo anakamilisha fatilia interview yakeShida nini?? Pacome hachezi
Rungu la FIFA likiwapiga ndio mtapata akili.Sijajua mkuu
No Pacome no Problems🤸
HatukatwiiRungu la FIFA likiwapiga ndio mtapata akili.
Nadhan mtakatwa points
Subiri Kamati ya SAA 72 ya nidhamu ikae.Hatukatwii
Unanitia hasiraaa🥺Subiri Kamati ya SAA 72 ya nidhamu ikae.
Mechi alizocheza pacome mnakatwa
Mfano Ile ya ushindi WA 5 tunapewa Sisi point tatu na magoli matatu
Hongera kwakulijua hilo.Huwa nafurah Sana kuona yanga wakifungwa ama suluhu Ila Sasa sioni opponents wakumstopisha.
Nyinyi kasirikeni tuu laumuni injinia Kwa kumleta mchezaji WA mchongo ndugu pacomeUnanitia hasiraaa🥺
Yaani mnafanya kila mbinu mchukue kombe letu🤸
Timu mbovu inashinda paka watu wawe pungufuUshindi mzito kwa champion la Jangwani naiwe funzo kwawengine
Tutaona kama tutatolewa points zetuNyinyi kasirikeni tuu laumuni injinia Kwa kumleta mchezaji WA mchongo ndugu pacome
😂😂😂😂Tutaona kama tutatolewa points zetu
Sisi ndo yanga🤸💛💚
AFCON morocco walikua na bango limeandikwa hivyo mtangazaji wa AZAM akatafsiri kuwa "mpaka fainali"Kilugha gani hicho?
Kama.simba tu kala nje ndani...utateseka sana kupata hy furaha kwa sasa ktk nbcpl hiiHuwa nafurah Sana kuona yanga wakifungwa ama suluhu Ila Sasa sioni opponents wakumstopisha.