Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Timu ya TFF, lazma ipewe ushindi wa goli 3 kuendelea.Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club (Yanga), leo Alhamisi Agosti 20, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 12:30 jioni kwa saa za Tanzania na utachezwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali baada ya kuanza vizuri msimu kwa kuifunga Namungo FC mabao 3-1 katika mchezo wao wa kwanza wa ligi.
Macho ya mashabiki wa soka Tanzania leo yataelekezwa kwenye mchezo huo, ambao unatarajiwa kutoa picha ya uwezo wa Yanga katika kuanza kampeni yake ya msimu na pia kuonyesha kama Coastal Union inaweza kuwazuia mabingwa hao kupata pointi muhimu.
View attachment 3653556
Timu zote ni za TFF Mkuu au ya kwako ni ya nani?Timu ya TFF, lazma ipewe ushindi wa goli 3 kuendelea.
Suluhu bin SuluhuMabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club (Yanga), leo Alhamisi Agosti 20, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 12:30 jioni kwa saa za Tanzania na utachezwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali baada ya kuanza vizuri msimu kwa kuifunga Namungo FC mabao 3-1 katika mchezo wao wa kwanza wa ligi.
Macho ya mashabiki wa soka Tanzania leo yataelekezwa kwenye mchezo huo, ambao unatarajiwa kutoa picha ya uwezo wa Yanga katika kuanza kampeni yake ya msimu na pia kuonyesha kama Coastal Union inaweza kuwazuia mabingwa hao kupata pointi muhimu.
View attachment 3653556
Naona Utopolo leo mnacheza na tawi lenu.Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club (Yanga), leo Alhamisi Agosti 20, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 12:30 jioni kwa saa za Tanzania na utachezwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali baada ya kuanza vizuri msimu kwa kuifunga Namungo FC mabao 3-1 katika mchezo wao wa kwanza wa ligi.
Macho ya mashabiki wa soka Tanzania leo yataelekezwa kwenye mchezo huo, ambao unatarajiwa kutoa picha ya uwezo wa Yanga katika kuanza kampeni yake ya msimu na pia kuonyesha kama Coastal Union inaweza kuwazuia mabingwa hao kupata pointi muhimu.
View attachment 3653556
Mwasibu karibu umuangalie rafiki yako Aziz Kii 😀Tunaambiwa leo hakutakuwa na VAR, ipo kwa ajili ya Simba tu
Costo ni tawi la simba wewe! Na hizi timu zote mbili mlezi wao ni Karia.Naona Utopolo leo mnacheza na tawi lenu.
Sawa mzee Tate😂😅🤣Costo ni tawi la simba wewe! Na hizi timu zote mbili mlezi wao ni Karia.
Mvuto upo kama ni mnazi wa ligi ya ndani,Afu mbona league haijawa na mvuto msimu au n mimi bado kichwa kimelala