nimeona mvuto umeanza kurudishwa na yanga yangu ya akina yaoMvuto upo kama ni mnazi wa ligi ya ndani,
Hii sio Yanga.Hii Yanga ni tamu kuliko asali. 🔥
Acha kufananisha Barcelona na vitu vya ajabu ajabu,,Hii sio Yanga.
Ni Barcelona wameamua kuvaa jezi za Yanga.
Msinifanye nianze kufatilia mechi.Hii sio Yanga.
Ni Barcelona wameamua kuvaa jezi za Yanga.
Mchezaji wenu wa utambulisho hayupo hata benchi,,Kikosi kipo wapi wazee..
Kipa mzuri sana ila timu ndio ya hovyo,,Kuna muda unatamani uwacheke Coastal Union ila baadae unawaonea huruma aiseeh wanateseka sana
Mpira una kanuni mazee hawachezi wote ni 11 uwanjani na benchi kutokana na performance ya mazoezini..Mchezaji wenu wa utambulisho hayupo hata benchi,,
anza tu ndugu yangu lakn uachane na wale wa pesa bankMsinifanye nianze kufatilia mechi.
Yanga hii ni tamu kama enzi za Mayele?
Kwamba shemeji hana performance mazoezini,, sioMpira una kanuni mazee hawachezi wote ni 11 uwanjani na benchi kutokana na performance ya mazoezini..
Wachezaji wote watacheza hao ndio maana Okelo kauzwa ili kuwapa nafasi mafaza..Kwamba shemeji hana performance mazoezini,, sio
Mvuto upo kwenu,, sisi pesa iko bank bado,,nimeona mvuto umeanza kurudishwa na yanga yangu ya akina yao
Spain ya buzaHii ni yanga au spain?