Analazimisha ustaa kwa kukaa uchi badala ya kufanya kazi iliyomleta..Hana nidhamu wala maadili
Uzembe huu...wanakusanya milioni 47 mechi moja ya Simba na Yanga walishindwa vipi kubadili taa ..hii mara ya pili inatokeaTaa zimezingua tena
Utopolo hawana cha kujuta mpaka sasa..Mtajutia hizi nafasi za wazi
Na mechi ya Simba na Yanga walipewa milioni 47Hizi aibu za reja reja,last time ilitokea hivi na leo tena na hakuna wanaowajibishwa Kwa huu upuuzi wa Umeme kukatika
Wasimamizi wa Uwanja wameamua kututia aibuUzembe huu...wanakusanya milioni 47 mechi moja ya Simba na Yanga walishindwa vipi kubadili taa ..hii mara ya pili inatokea