black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Mwanga jmn mwanga tunatia aibuuu khaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matokeoa ya kumlealea Jan. Makamba!Dah! Umeme tena!!!! Huubuwanja utakuja ufungiwe sasa kutumika mechi za usiku.
Upumbavu sana huuHii ndio maana halisi ya shithole country [emoji706][emoji706]
Aibu kubwaHuu ni uzembee mkubwaa na aibu kubwaa kwa Taifa...
Halafu hatujawahi kusikia mtu akiwajibishwa kwa haya madudu!Hii nchi ina mambo ya aibu sana