FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Huu ni uongo
emoji16.png


Bado Yanga itashinda tu

1. Umesema Kule Nigeria Yanga ilishinda Kwa mbinu Ila sio quality ya wachezaji. Nitajie wachezaji wa Nigeria walionesha quality kuliko wa Yanga...

2. Unasema Rivers waliwachukulia Yanga poa.. huu ni uongo kumbuka Yanga walishanesha dharau nyingi Kwa Rivers siku ya kupangwa droo Hadi wakashangilia kupangwa na rivers sasa hapo Nani alimchukulia poa mwenzake...

3. Umezungumzia kua physically fit haahhahaa Yanga wapo fit kiakili na kimwili kuliko hao wapopo kumbuka Ile faulo Yao walipiga mshambuliaji anateleza mwenyewe it means n wazito.. rejea tena Yule beki alivokimbizwa na Jesus ducapel Moloko
emoji28.png


FAMASIALA NINI !!...

emoji172.png
emoji169.png
Asante kwa kutoa hoja zako,

1. Rivers waliweza kumiliki mpira kipindi chote cha kwanza walicheza Kitimu

2. Nazungumzia iliwachukua poa kwa kigezo cha matokeo ya msimu miliopita ukizingatia Rivers waliimarika zaidi pia kwa kufanya usajili
 
Back
Top Bottom