FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Dah! Umeme tena!!!! Huubuwanja utakuja ufungiwe sasa kutumika mechi za usiku.
Ni matokeoa ya kumlealea Jan. Makamba!
Sasa Madam ssh anapata aibu kubwa mnoo.
Nitashangaa sana kama waziri wa Nishati,waziri wa michezo wataendelea kuwepo madarakani hadi kesho
 
Back
Top Bottom