Gharama za uwanja sijui ni zipi sasa kama taa zinazima hiviUzembe huu...wanakusanya milioni 47 mechi moja ya Simba na Yanga walishindwa vipi kubadili taa ..hii mara ya pili inatokea
BoraDah! Umeme tena!!!! Huubuwanja utakuja ufungiwe sasa kutumika mechi za usiku.
Bora hata wangejichezea zao saa 10 jioni. Muda huu watu wangekuwa wameshafunga mahesabu. This is too much.Kwanini mechi ichezwe usiku kwa hali hii?
Tunajiaibisha kama taifa, ujuaji wa kishamba.
Ni upumbavu usiomithilika mkuu...Tunatia aibu qmmke kahhhh!! Sio mara 1 huu ujinga
Acheni maswala yenu ya udini hapa dini na ubora wa mchezaji Zina uhusiano Gani?Mzize toka amkane Kristo amepotea
Asante kwa kutoa hoja zako,Huu ni uongo
Bado Yanga itashinda tu
1. Umesema Kule Nigeria Yanga ilishinda Kwa mbinu Ila sio quality ya wachezaji. Nitajie wachezaji wa Nigeria walionesha quality kuliko wa Yanga...
2. Unasema Rivers waliwachukulia Yanga poa.. huu ni uongo kumbuka Yanga walishanesha dharau nyingi Kwa Rivers siku ya kupangwa droo Hadi wakashangilia kupangwa na rivers sasa hapo Nani alimchukulia poa mwenzake...
3. Umezungumzia kua physically fit haahhahaa Yanga wapo fit kiakili na kimwili kuliko hao wapopo kumbuka Ile faulo Yao walipiga mshambuliaji anateleza mwenyewe it means n wazito.. rejea tena Yule beki alivokimbizwa na Jesus ducapel Moloko
FAMASIALA NINI !!...