Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nchi yangu hii aibu sana. Kwani hakuna maandalizi ya uwanja ikiwa ni pamoja na kutest taa?
Kombe la CAF CupSimba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?
Mara ya pili au tatu hii kwanini hawajifunzi?Unatumia umeme wa Tanesco...
Shida ya leo sio uwanja kukosa umeme bali taa zimezima...
Uko sahihi sana mkuuCCM yako ni LAANA mkuu.. kila siku tunawaambia hapa
SawaUnatumia umeme wa Tanesco...
Shida ya leo sio uwanja kukosa umeme bali taa zimezima...
Wewe ulidhani wako serious na yale maombi?Ina athari kubwa maombi ya kuandaa AFCON 2026
AahaaaaaaaLeo shift Tanesco atakuwa yupo mtu wa Simba.
Ila bongo daaah......
Bado hautoshi mpira kuchezwaMwanga umeimarika...
Naona kama timu zinarudi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo...
Kuna uhusiano gani???nonsenseSimba wanatuhujumu