FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Mwanga umeimarika...

Naona kama timu zinarudi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo...

Hadi sasa hatma ya mechi haijakuwa wazi...

Huu ndio muda wa kuroga, kufanya figisu, kupuliza dawa za kumaliza nguvu huko dressing rooms... 😃😃😃
 
Back
Top Bottom