Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu kupata habari za mpira haihitaji kuja mjini.itakuwa umekuja mjini juzi mechi ya simba umeme ujawah zima
Niko porini na wanyama lakini nina taarifa zote za mjini.
Usikariri dunia ni kijiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kupata habari za mpira haihitaji kuja mjini.itakuwa umekuja mjini juzi mechi ya simba umeme ujawah zima
Kwani wa Azam haufai?Hizi nilishasema ni fitna ili Simba atolewe kwenye Super League kwa kukosa sifa za kutokuwa na uwanja wa nyumbani.
atoke kwa niniNzize Hajatoka?
una taarifa zote hujui kama mechi ya simba na al masry umeme ulikatikaMkuu kupata habari za mpira haihitaji kuja mjini.
Niko porini na wanyama lakini nina taarifa zote za mjini.
Usikariri dunia ni kijiji
kama wale wasomali wa casablancaHawa ni warundi sio wanaija
Hiki ulichokiweka hapa hata Wewe unaweza Kuingia kwenye Net Ukaedit.Simba alicheza fainali ya CAF cup na wala haikuwa kombe la shirikisho.
Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup ambapo mwaka 1993 bingwa alikuwa Al Ahly. Na bingwa wa klabu bingwa ambapo kwa kipindi hiko ilikuwa inaitwa Africa cup of champions club akawa ni Zamalek. Kwenye Caf super cup ambapo bingwa wa klabu bingwa anacheza na bingwa wa kombe la shirikisho, ikapigwa kati ya Al Ahly vs Zamalek kisha Zamalek akabeba kombe la CAF super cup.View attachment 2605330
Concern yangu ni wewe kuonyesha kuwa bila kuja mjini huna habari muhimuuna taarifa zote hujui kama mechi ya simba umeme ulikatika
ama wewe una taarifa gani
Wamekuja kukamilisha ratiba tu...Mpaka sasa hawa rivers hawana mbinu za kufanya maajabu yoyote.
Umekomalia na hicho ki screenshot chako inaenda wiki sasa.Simba alicheza fainali ya CAF cup na wala haikuwa kombe la shirikisho.
Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup ambapo mwaka 1993 bingwa alikuwa Al Ahly. Na bingwa wa klabu bingwa ambapo kwa kipindi hiko ilikuwa inaitwa Africa cup of champions club akawa ni Zamalek. Kwenye Caf super cup ambapo bingwa wa klabu bingwa anacheza na bingwa wa kombe la shirikisho, ikapigwa kati ya Al Ahly vs Zamalek kisha Zamalek akabeba kombe la CAF super cup.View attachment 2605330
iyo concern yako imehama baada ya kupewa taarifa kwamba mechi ya simba na al masry pia ulikatikaConcern yangu ni wewe kuonyesha kuwa bila kuja mjini huna habari muhimu
Utlist wangekaza mpira uchangamke. Sasa wanacheza kama wao ndo wanaongoza agg.Wamekuja kukamilisha ratiba tu...
Wa Azam una nyasi bandia na mambo mengine ambayo hayakidhi vigezo.Kwani wa Azam haufai?