FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Waziri wa mchezo na hata waziri mkuu wajiuzulu iwapo Yanga watapokwa ushindi sababu ya taa za uwanja wa taifa Benjamni Mkapa uzima . Kwanini uwanja usiwe na Auto generator?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa hawa rivers hawana mbinu za kufanya maajabu yoyote.
 
Mkuu kupata habari za mpira haihitaji kuja mjini.
Niko porini na wanyama lakini nina taarifa zote za mjini.
Usikariri dunia ni kijiji
una taarifa zote hujui kama mechi ya simba na al masry umeme ulikatika

ama wewe una taarifa gani
 
Hiki ulichokiweka hapa hata Wewe unaweza Kuingia kwenye Net Ukaedit.
 
Hawa Rivers nilisema toka gemu ya kwanza wangekuwa na mshambuliaji wa kati wa maana pale mbele, Yanga asingemfunga hata gemu 1. Kiuwezo haina tofauti sana na Yanga.
 
Umekomalia na hicho ki screenshot chako inaenda wiki sasa.

Unatumia nguvu kubwa sana kufifisha mafanikio ya Simba kwa references za kuunga unga.
 
Concern yangu ni wewe kuonyesha kuwa bila kuja mjini huna habari muhimu
iyo concern yako imehama baada ya kupewa taarifa kwamba mechi ya simba na al masry pia ulikatika

una habari gani muhimu hujui kama si mara ya kwanza umeme kukatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…