Toa Mzize ni mzigo
Mkuu unaona kuna mpira kweli hapoSema ukweli ?...[emoji23][emoji23]
Ndio level ya shirikisho hiyoYanga wapo sloppy kinoma... Wachezaji wanachelewa sana ku react
Hizo team zinazoongoza ..ziko home!? Je aggrgt inasomaje!?Asec mimosas anaongoza 1-0, Malumo Gallant pia anaongoza 1-0, mechi zote ni mapumziko
Hamna kitu wanafanyaHii kweli shirikisho wanaruka ruka tu .
Aisee wananchi mliokuwa mnampaisha leo hii mmefikia hapa?Huyu Mzize hapana kabisa
Tia Musonda, tia Moloko kazi itaishaHii mechi imemzidi nguvu. Kipindi cha pili bila shaka kocha atampumzisha, na nafasi yake kuchukuliwa na wachezaji wenye uzoefu zaidi.