[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama wale wasomali wa casablanca
Kama timu yako haipo kimataifa kaa kimyaSema ya shirikisho, maana CAF kuna Klabu Bingwa inayotambulika [emoji16]
Nje ya mashijdano yapi? Malizia sentensi ikamilike ili tukuulize kama uliingia.ambao hamna kitu wako nje
Huyo mambo ya madrasa yanamchanganya[emoji1787]Mzize Bado kabisa hayupo mchezoni
Mmeanza kupoteanaMategemeo makubwa performance mbovu sana
Mkuu achana na habari kama hizi mama ni mkuu wa nchi kuwa na adabuMKUU HIVI HUYO MAMA ALIWAHI KUKUKOSEA NINI!!?
AU ALIWAHI KUKUNYIMA ENZI HIZO!!?
Mahudhurio uwanjani 🤔Ni kukariri tu, sasa hivi hadi ukienda kucheza na Ihefu wanataka kucheza usiku
kwani leo Inonga anacheza?Kumbe hii team bila wacongo ni ya hovyo hivi
seme kama haipo shirikisho 😁Kama timu yako haipo kimataifa kaa kimya
Kama anayeishia robo ndio kuheshimisha nchi tofauti na anayeenda nusu sawa.Simba tumetoka kuiheshimisha nchi, hawa uto wanaharibu kazi yote iliyofanyika kule Morocco.
Imekataa kabisaIpo sema haioneshi sijui shida niniView attachment 2605319
HaioneshiHapa naiona kwenye list View attachment 2605317
Ukisema mtu mmoja mmoja inakuwa ni neno ambalo halina mipakaMtazamo wa mtu mmoja huo, hauna uhusiano na mtazamo wa watu wa mpira.
Wazee wa kutolewa kiume,seme kama haipo shirikisho [emoji16]
Hii mechi ni nyepesi sana kwa Wananchi iwapo hizi sura mbili zitaingia.Tia Musonda, tia Moloko kazi itaisha
Una wivu wa kikeMipira ina njia zake mzee, kile kipindi mnamtupia sifa za kumfananisha na Haaland wanaojua mpira walikaa kimya hawakua wajinga.
Wameshatupa, tunaenda Super League ...kwanza CAF wawape kombe lenu la kufika quarter final maana ndipo lilipo kombe lenu